HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU KAMANDA BARLOW ULIVYOAGWA MWANZA.

Afande
George Msangi akitangaza ratiba za kumuaga kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mwanza SACP Liberatus Barlow aliyeuawa usiku wa kuamkia jumamosi na watu
wanaodhaniwa kuwa majambazi katika eneo la Kitangiri karibu na Hotel ya
Tai Five.

Maaskari wakijipanga kulitoa sanduku lenye mwili ya Kamanda Barlow kutoka kwenye gari kuanza shughuli za kumuaga

Jeneza lenye mwili wa Kamanda Barlow likishushwa kutoka kwenye gari

Safari ya kuelekea sehemu maalum iliyopangwa kwa ajili ya mwili wa marehemu

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Everest Ndikillo akienda kuuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Barlow.

Viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakisimama kwa dakika kadhaa kutoa heshima kwa mwili wa marehemu kamanda Liberatus Barlow

Baadhi ya Maafisa ya Jeshi la Polisi waliohudhuria

Afisa Usalama wa Taifa Meja Jacob Mutashi

Jeneza lenye mwili wa Marehemu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow

Saluti kutoka kwa Maafisa wa Polisi walizamu kwa Marehemu Kamanda wa Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow wakitoa heshima za mwisho

Familia ya marehemu kamanda Liberatus Barlow

Maafisa wa Majeshi ya aina mbalimbali Tanzania katika hafla la kuuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Barlow.

Umati
mkubwa watu wakiwa katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa
aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Barlow

Mkurugenzi
wa Makosa ya Jinai Kaminishina Richard Manumba akisalimia na Mkuu wa
Wilaya ya Magu Bi. Jackline Wana. Katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza Bi.
Rosemary Mwanyika akiwa kulia kabisa mwenye suti nyeusi.
picha kwa hisani ya blog ya jamii..

No comments:
Post a Comment