RAISI KIKWETE AZINDUA RASMI LIBENEKE LA CCM.
 |
Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na Blogu ya CCM katika
viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni.Wapili kushoto ni katibu
mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius
Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi
wengine waandamizi wa Chama |
 |
Libeneke la CCM linavyoonekana. |
No comments:
Post a Comment