Thursday, April 19, 2012

ANAOMBA MSAADA MWENYE MOYO KUMSAIDIA TAFADHALI ..
           

Festo Joseph(370 mzaliwa wa Kijiji cha Mijongweni Wilayani Hai, anaomba asaidiwe baiskeli na mtu wa kuuendesha,mama yake clara Peter anasema kuwa baba yake aliweisha fariki na hivi sasa hakuna mtu wa kumsaidia.

Anasema kuwa yeye hana kazi lakini amemuweka mtu wa kumhudumia kama kumfulia na majirani kujitolea kumpa chakula  kutokana nay eye kutokuwa na kazi na kuamua kujishughulishja na biashara ya kuuza matunda na chupa za maji.

Mume wake alimfukuza na kumuoa mke mwingine ndipo baadae akafariki,na hakuchukuliwa vibaya kutokana na kuzaa mlemavu kwa kuwa alikuwa ni motto wa kwanza wa na siyo pili ambaye engechukuliwa kuwa yeye ndiye mwenye matatizo.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mmiliki wa blog hii..

No comments:

Post a Comment