Tuesday, April 10, 2012

WANANCHI WAFURIKA KUMUAGA STEVEN KANUMBA

                                                                                     Hivi ndivyo mwili wa Marehemu Steven Kanumbaa ulivyoonekana wakati wa kuagwa kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam.


Waziri wa Mambo ya Nje Bernad Membe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba aliyeagwa kwenye Makaburi ya Kinondoni ambapo mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
 Mama wa Marehemu Steven kanumba akiwasili makaburi akiwa na majonzi akiwa ameambatana na mama Asha Baraka.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehumu steven Kanumba ambaye alikuwa muigiza nguli wa filamu nchini.





 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye harakati za kuuaga mwili wa marehemu steven Kanumba.
Mwili wa Marehemu Steven Kanumba ukiwasili makaburini Kinondoni ukiwa umesngwa na wananchi mbalimbali.
Sehemu maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya kuweka jeneza lililobeba mwili wa Steven Kanumba.

No comments:

Post a Comment