MADUKA YA BIASHARA YATEKETEA KWA MOTO ARUSHA.
 |
Zima moto wakiwa kazini kuzima moto ulianza kuwaka gafla kwenye maduka ya waf |
anyabiasha yaliyopo jijini Arusha enel lijulikanalo kama chini ya mti,ambapo hata hivyo zima moto wa jiji hawakuwa na maji hadi walipokuja wengine kutoka Halmashauri ya Meru.
 |
baadhi ya maduka ambayo yalikwua yameshika moto yakiteketea kwa moto. |
 |
Wananchi wakijaribu kuuzima moto huo kwa maji,hapo wakiangalia kama wameweza kufanikiwa baada ya baadhi ya majengo moto huo kupoa.habari na mwandishi wetu Arusha. |
No comments:
Post a Comment