NMB YATOA MSAADA WA VYAKULA NA MAGODORO MONDULI,VYOTE VIKIWA NA DHAMANI YA MILLION 10
|
MKUU WA WILAYA YA MONDULI JOWIKA KASUNGA,anayeongea,AKIWA KWENYE GARI PAMOJA LENYE MSAADA,AKIWA PAMOJA NA MENEJA WA NMB KANDA YA KASKAZINI VICKY BISHUMBO,wa tau kushoto,akiwa na MKUU WA KITENGO CHA MAHUSIANO YA KJIJAMII
WA BENK YA NMB BI SHAIROSE BANJI WAPILI wa pili kusoto. |
|
FAMILIA 27 KATI
YA 2123 ZILIZOKUWA ZIMEATHIRIWA
NA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO WA MBU WILAYANI MONDULI MKOANI ARUSHA MWISHONI
MWA MWAKA JANA ZINAKABILIWA NA
HALI NGUMU YA MAISHA NA ZINAHITAJI
MSAADA WA HALI NA MALI.
MWANDISHI WETU RODRICK ,MUSHI ANAYO TAARIFA ZAIDI
AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA MSAADA WA VYAKULA NA VIFAA VYA NDANI YAKIWEMO MAGODORO
NA MABLANKETI VILIVYOTOLE NA BENK YA NMB ,MKUU WA WILAYA YA MONDULI BW JOWIKA KASUNGA AMESEMA FAMILIA HIZO BADO ZIMEHIFADHIWA KWA NDUGU NA JAMAA ZAO NA ZINAISHI KWA KUTEGEMEA MISAADA
WAKIZUNGUMZA BAADA YA
KUKABIDHIMSAADA HUO MKUU WA KITENGO CHA
MAHUSIANO YA KJIJAMII WA BENK YA NMB BI SHAIROSE BANJI NA BAADHI YA WATENDAJI WA BENK HIYO
WAMEAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA
NA WADAU MBALIMBALI KUWASAIDIA WANANCHI
HAO
KWA UPANDE WAO BAADHI YA WANANCHI WALIOPATIWA MSAADA
HJUO PAMOJA NA KUISHUKURU BENK HIYO WAMEWAOMBA WADAU WENGINE KUJITOLEA KUWASAIDIA
BONDE LA MTO WA MBU
LILILOKO WILAYANI MONDULI MKOANI ARUSHA LILIKUMBWA NA MAFURIKO MAKUBWA MWISHONI
MWA MWAKA JANA AMBAYO PAMOJA NA KUSABABISHA MAAFA MAKUBWA BAADHI YA WATU WALIPOTEZA MAISHA
|
No comments:
Post a Comment