Vigogo walioripotiwa kujiuzuru ni: Waziri wa Nishati na Madini, William
Ngeleja, Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara,
Cyril Chami, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu, Waziri wa Maliasili na
Utalii, Ezekiel Maige, Waziri Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George
Mkuchika, Waziri wa Kilimo Chakula na Ushurika Jumanne Maghembe na
Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.
—
No comments:
Post a Comment