DK SLAA AFUNIKA ARUMERU MASHARIKI... |
KATIBU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)DK WILBROAD SILAA AKIPOKELEA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA NGURUMA AKITOKEA JIJINI MWANZA. |
DK SILAA AKIKUMBATIANA NA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA JOSHUA NASARI WAKATI ALIPOWASILI KWENYE UWANJA WA KIMATAIFA WA KIA. |
HALI ILIKUWA HIVI,HAPO ANAONGEA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA NGURUMA KILICHOPO JIMBO LA ARUMERU AMBAPO PIA ALIMUOMBEA BWANA NASARI KURA. |
No comments:
Post a Comment