MWILI WA MAREHEMU WILLY EDWARD WAHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI.
![]() |
| Mwili wa marehemu Willy Edward ukipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jioni ya leo. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wa marehemu wakishusha mwili wa marehemu Willya Edward kwenye gari baada ya kuwasili katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa |





No comments:
Post a Comment