MWANDISHI WA HABARI MKONGWE SAMWELI SHAO NAE AACHANA NA UKAPERA.
| Hapa Samweli Shao akiwa na mke wake Liliani Mbowe mara baada ya Askofu wa KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI Martin Shao kufungisha ndoa yao Kanisani.. |
| Baada ya kukabidhiwa taa kwa ajili ya huduma. |
|
| Harusi ilihudhiriwa na watu mbalimbali maarufu kutoka kila kona ya nchi wakiwemo viongoziu wa dini. |
| Chama cha waandishi wa Habari Mkoani Kilimanjaro(MECKI)kikitoa zawadi yake kwa bwana Samweli na Mke wake vaada ya kufunga harusi yake... |
| Keki ya waandishi wa habari Mkoani Kilimanjaro ikikabidhiwa kwa mmoja wa kiongozi wao. |

No comments:
Post a Comment