MWANDISHI WA HABARI MKONGWE JACKSON KIMAMBO AACHANA NA UKAPELA.
| Hapa kama walivyoonekana wana harusi Bw Jackson Kimambo na Mke wake Neema Mushi katika ukumbi wa YMCA uliopo Mjini Moshi |
| Hapa zoezi la Keki likianza. |
| Jackson Kimambo akimlisha mke wake Keki ikiwa ni moja ya ishara ya upendo,. |
| Chama cha waandishi Mkoani Kilimanjaro(MECKI)nacho kilimpongeza bwana Jackson Kimambo kwa maamuzi yake ya kuukimbia ukapela. |
| Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo Bw Abuu Shayo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mji Mpya akitoa neno la shukrani kwa niamaba ya wanakamati wenzake. |
| Hapa wakijiachia kwa raha zao |
| Mmiliki wa Blog Hii Rodrick mushi(katikati)akimpongeza Jacksoni Kimambo kwenye harusi hiyo |

No comments:
Post a Comment