Akiwahutubia wananchi na wapenzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo katika mkutano wa hadhara uliofanyikia eneo la sokokuu manispaa ya iringa.
Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi alisema wameamua kuongea lugha itakayo eleweka kwa spika na wabunge wa ccm wakiwabungeni ili wafikishe ujumbe waliotumwa na wananchi.
Akifafanua zaidi kuhusu hilo kasema wao wabunge kutoka Chadema hawana tena mtindo wa kutoka Bungeni pindi wanaponyimwahaki ya kikatiba wawapo Bungeni. kwapamoja wanawasha vipazasauti na kusimama kwapamoja kuhakikisha matakwayao yakimsingi yanasikilizwa.
Moja ya mamboyalio kera sana katika Bunge lililo isha hivi kalibuni ni kufutwa kwa Hojabinafsi zilizo tarajiwa kuwasilishwa pomoja yakuwa vigezona mashariti walikamilisha hukuyeye akiwana Hojayake inayohusu Maliyaasili yetu juu ya Uwindaji haramu na nanamna vyombo vya Dola vinavyohusika na Ujangili.
Mh Msigwa alisema tofauti iliopo katiya wabunge wa ccm na wao wa chadema nihii ccm wanafikilia miaka mitano kumi ijayo kwa mipango ya matumbo mbele maendeleo nyuma.
Wakati Chadema wanafiri miaka hamsini au mia ijayo kwamaendeleo ya vizazi vijavyo huku wakisititiza nguvu ya umma ilete mabadiliko katika nchihii.
Sambamba na hilo alisema anashangaa wanasiasa wa ccm wanafikilia uchaguzi wa 2015 wakatiyeye anashughulikia namnayakuwakilisha hoja na shida za wananchi wajimbo la Iringa.
Akiongeakwa uchungu anasema hayupotayali kuwamtii kwayeyote wa ngaziyoyote kwa mambo ambayo yanawakandamiza wananchi katikanchihii.
Kwaniyeye aliaminiwa na wananchi na kamwe aliahidi hatowaangusha kwakuenda Bugeni na kukaa kimya akiangalia mamboyanavyoendasivyo.
Mwisho alikaribisha maswali kutokakwa wananchi na akawatajia namba za simu zote za Mh Spikawa Bunge la Jamuhuli ya Muungano la Tanzania Anne Makinda pamoja naza naibu spika wa Bunge Ndg Jobu Ndugai. Nakutahadhalisha sio kwa kuwatukana kwakuwa hato husika ila kwamatumizi ya msingi kwamaendeleo ya nchi.
No comments:
Post a Comment