Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini,
wakisiliza taarifa ya pamoja ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Vikundi
mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha
leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki
wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali
nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini
wakisimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara
yake ya Kiserikali nchini akiagana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilali aliye pamoja na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda pamoja na viongozi
wengine katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment