MAADHIMISHO MIAKA MITATU YA TAASISI YA WAKUGUZI FOUNDATION KUTOKA AJTC YALIKUWA HIVI...
Hapa kundi la Wakaguzi wakiwa kazini. |
Ilikuwa bomba ile mbaya. |
Kila aina ya sanaa ilikwepo. |
Leacturer Andrew Ngobole akimlisha madamNeema keki kwenye hafla hiyo |
Moda na Dj Samboto nao walikuwepo pia hawa ni wakufunzi wa chuo cha arusha Journalism. |
Mgeni Rasmi kwenye hafla hiyo akiwa kwenye meza kuu. |
Hapa wakaguzi wakizindua t,shirt zao mpya. |
No comments:
Post a Comment