HONGERA SANA KAMANDA JOSHUA KWA KUGRADUATE DEGREE YAKO YA KWANZA MWENGE UNIVERSITY..
Hapa Joshua Swa(kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo(wa tatu kushoto) ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali hayo. |
Hapa akiwa na mmoja wa marafiki zake wa karibu sana.Emmi Lucas. |
Joshua akipokea zawadi kutoka kwa marafiki zake. |
Joshua kwenye picha ya pamoja na marafiki ndugu na jamaa. |
Joshua akiwa naBaba yake Mkubwa, |
hapa akiwa na mama yake anampongeza mwanangu hongera sana |
Joshua akiwa na baba yake,aliyekatikati. |
Joshua akiwa na mdogo wake Arnold Swai |
Joshua Swai akiwa na kamanda au mmliki wa blog hii Rodrick Mushi. |
Baba wew ndiye ulinifanya nifike hapa sina la kulilipa,kama alikuwa anasema hivyo big upa Joshua. |
Na dada yake naye alikuwepo dada chukua keki. |
Aksante sana kamanda Lodrick
ReplyDelete