MKUU WA MKOA WA KILIMANAJRO AKUTANA AN WAKUU WA WILAYA ZA MKAO HUO KUJADILI SHUGHULI MBALIMBALIZ AMAENDELEO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama,akizungumza jambo kwenye kikao hicho kilichofanyika wilayani rombo mkoani Kilimanjaro. |
Wakuu wa Wilaya Mbalimbali Mkoani Kilimanajro. |
Wakurugenzi wa Manispaa na Halmashauri. |
Mkuu wa Mkoa akisikiliza taarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Rombo hayupo pichani.
Akiwasilisha taarifa yake kuhusiana na fursa za maendeleo zilipo katika Manispaa ya Moshi alisema kuwa
Kufungwa kwa viwanda vya moshi,ambavyo vilikuwa vikizalisha
bidhaa mbalimbali,immelezwa kusabisha tatizo la ajira kwa wakazi wa manispaa ya
Moshi ambayo wakazi wake zaidi ya asilimia 80 walikuwa wakitegemea ajira kutoka
kwenye viwanda hivyo.
Matokeo ya kufungwa kwa viwanda hivyo imesabisha wananchi
wengi kukosa ajira,hivyo kupelekea kushukwa kwa vipato vya wananchi wake pamoja
na kuongezeka kwa wafanayabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga,ambao
wanategemea kazi hiyo kuweza kjioatia kipato cha kila sikukwa ajili ya
kujikimu.
Hayo yalibainishwa na
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Bernadetha kinabo kwenye Mkutano uliofanyika
Wilayani Rombo chini ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro leonidus Gama ambao
umehudhuriwa na Wakurugenzi na wakuu wa Wilaya sita Mkoani hapa, lengo likiwa
ni kuajdili vipaumbele vya maendeleo kwa mkoa wa Kilimanajro.
No comments:
Post a Comment