CAMERA YETU LEO IPO VIWANJA VYA NANE NANE ARUSHA.
BAADA
ya kamera yetu kupata taarifa ya Tanzania kuongeza nguvu kwenye KILIMO
KWANZA na kukosa sehemu ya kuona mikakati hiyo kwa vitendo isipokuwa
kwenye makablasha tu liliamua kwenda kujione lenyewe mikakati ya kuinua
uchumi wa nchi hii hususani kupitia kilimo pamoja na kuboresha hali ya
maisha ya wakulima kwenye maandalizi ya maadhimisho ya siku ya wakulima
Tanzania (nane nane).
Moja
ya vivutia vikubwa hilikuwa mashamba ambayo yalikuwa yamelimwa lakini
akukuwa na mtu yoyote wa kutoa maelekezo jambo ambalo lililishangaza
Jicho Letu na kulifanya liwatafute wausika.
Sherehe
za Nane Nane huandaliwa na kuratibiwa kwa ushirikiano wa Wizara ya
Kilimo Chakula na Ushirika pamoja Chama cha Wakulima Tanzania (TASO).
No comments:
Post a Comment