MWILI WA MAREHEMU WILLY EDWARD WAHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI.
Mwili wa marehemu Willy Edward ukipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jioni ya leo. |
Ndugu jamaa na marafiki wa marehemu wakishusha mwili wa marehemu Willya Edward kwenye gari baada ya kuwasili katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa |
No comments:
Post a Comment