Sunday, April 22, 2012

Lowasa Achangia Ujenzi wa Kanisa la EAGT Mbeya.

 na waumuni wa Kanisa na EAGT  wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hili lililopo tunduma Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.

Hapa Waziri Mkuu Mtaafu Edward Lowasa akisalimiana na baadhi ya viongiz wa kanisa hilo,wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Evance Balema.

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa wa pili kulia akiwa na Askofu wa kanisa la EAGT Kenneth Kasunga kuchangia ujenzi wa kanisa hili lililopo tunduma Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.iliyofanyika kwenye Hotel ya High Class


No comments:

Post a Comment