MAADHIMISHO MIAKA MITATU YA TAASISI YA WAKUGUZI FOUNDATION KUTOKA AJTC YALIKUWA HIVI...
| Hapa kundi la Wakaguzi wakiwa kazini. |
| Ilikuwa bomba ile mbaya. |
| Kila aina ya sanaa ilikwepo. |
Leacturer Andrew Ngobole akimlisha madamNeema keki kwenye hafla hiyo |
Moda na Dj Samboto nao walikuwepo pia hawa ni wakufunzi wa chuo cha arusha Journalism. |
| Mgeni Rasmi kwenye hafla hiyo akiwa kwenye meza kuu. |
| Hapa wakaguzi wakizindua t,shirt zao mpya. |

No comments:
Post a Comment