CHAMA CHA WAANDISHI MKOANI KILIMANJARO (MECKI)CHAUNDA TUME MAALUMU KWA AJILI YA MAREKEBISHO YA KATIBA YAKE.
Mwenyekiti rodrick Makundi akizungumza kwenye mkutano huo.
| Wanachama pamoja na viongozi wakiwa kwenye mkutano mkuu maalumu wa kuunda tume ya marekebisho ya katiba. |
| Mkurugenzi Mtendaji kutoka Union of Tanzania Press Cub(UTPC)Aboubakar Khasan akizungumza kwenye mkutano huo ambao nae alipata fursha ya kuhudhuria. |
| Mratibu wa club ya waandishi wa habair Mkoani Kilimanajro Yusuph Mazimu,pamoja na wajumbe wengine ambao waliwalikwa kutoka vilabu vingine ikiwemo Mkoa wa Arusha na Tanga. |
| Wanachama ambao ni waandishi kwenye tasnia ya habari wakifuatilia Mkutano. |

No comments:
Post a Comment