KIKWETE AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA LEO
 |
| Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk Fenela Mukangara akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete leo. |
 |
| Naibu waziri wa Sayansi na Teknolojia January Makamba akila kiapo |
 |
| Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki akila kiapo |
 |
| Miraji Kikwete akiwa na wadau wengine katika hafla hiyo |
 |
| Rais Jakaya Kikwete akipiga picha ya pamoja na mawaziri pamoja na manaibu waziri mara baada ya kuwaapisha leo. |
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na manaibu Waziri mara baada ya kuwaapisha leo Ikulu.
No comments:
Post a Comment