Tuesday, April 17, 2012

ZIARA YA RAISI BRAZILI AKUTANA NA RAISI MSTAAFU WA BRAZIL..
Raisi Jakaya Kikwete akisalimiana na aliyekuwa Raisi wa Brazil Lui Inancio Lula Da Silva katika Mji wa Sao Paul uliopo Nchini Humo.

Hapa Raisi Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Aliyekuwa Raisi wa Brazil Lui Inancio Lula da Sila,kushoto ni balozi wa Tanzania Nchini Brazil Francis Malungugi,kushoto ni Balozi wa Blazil Nchini Tanzaia Francisco Carloz Luz.

Raisi Kikwete akisindikizwa na aliyekuwa aliyekuwa Raisi wa Brazil Lui Inancio Lula Da Silva katika Mji wa Sao Paul baada ya kwenda kumjulia hali
 

No comments:

Post a Comment