Mchezaji
wa timu ya Simba ya Tanzania Shomari Kapombe kulia akichuana vikali na
Maieco Antonio mchezaji wa timu ya Libolo FC kutoka nchini Angola
wakati wa mchezo wa Klabu Bingwa Afrika ( CAF) kati ya timu hizo
uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Timu ya Libolo
FC ya Angola inaongoza goli 1-0 dhidi ya Simba ya Tanzania, Mpira
umekwisha timu hizo zitakutana tena wiki mbili zijazo katika mchezo wa
marudiano nchini Angola
Waamuzi wa mchezo huo wakiwaongoza wachezaji wa timu ya Simba na Libolo
ya Angola wakati timu hizo zikiingia uwanjani tayari kwa kumenyana
katika mchezo huo.
Mashabiki kwa mbali uwanjani hapo wakishuhudia nguo kuchanika wakati
timu hizo zikimenyana uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Hizi
siyo salakasi il ni harakati za kuwania mpira wakati wa mchezao wa
Simba ya Tanzania na Libolo FC ya ambapo Libolo meshinda goli 1-0 dhidi
ya Simba ya Tanzania
No comments:
Post a Comment