Saturday, October 6, 2012

UZINDUZI KAMPENI ZA UDIWANI ROMBO WAFANA,WANANCHI WAMIMINIKA.

Hapa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe akimnadi mgombea udiwani wa kata ya nanjara rea Rombo Frank Salakana.

Mbowe akikabidhiwa picha iliyochorwa na mmoja wa waannachi kama zawadi

wanannchi wakifuatilia mkutanp kwa makini

 Mbowe akisisitiza jambo kwa wananchi wa nanjara rea.

No comments:

Post a Comment