Sunday, April 22, 2012

Uyoga ulivyokuwa adimu ukifanikiwa kuuona basi mara nyingi unakuwa siyo ule unaoliwa.

Mtoto anayekadiriwa kuwa kati ya umri wa miaka 7-8 akisaka wateja wa Uyoga mwendo mfupi kabla ya kukifikia kivuko cha Kyanyabasa Wilaya ya Bukoba Vijijini.Katika Mkoa wa Kagera Shirika la Maendeleo ya Wakulima(MAYAWA)pia linajihusisha na uhamasishaji wa jamii katika kupanda zao la uyoga.Mbegu za zao hilo zinapatikana katika ofisi zao zilizopo barabara ya kuelekea Kyakairabwa

 

No comments:

Post a Comment