Saturday, April 28, 2012

MAFUNZO YA SIKU NNE YA  UCHAMBUZI WA SERA NA BAJETI YALIYOKUWA YANAFANYIKA KWA WAANDISHI MKOANI KILIMANJARO YAMALIZIKA LEO.

Mwezeshaji wa mafunzo hayo Adam Ndokeji akifafanua  jambo na waandishi wa vyombo mbalimbali waliohudhiria mafunzo hayo
washiriki kwenye mafunzo hayo wakimsikiliza mwezeshaji kwa makini


Mmiliki wa Mtandao huu wa www.tanzania-leo.blogsport.com odrick Mushi akifafanua jambo kwenye mafunzo hayo




1 comment:

  1. hangereni sana muyatendee kazi hayo yote mliojifunza

    ReplyDelete