Sunday, April 1, 2012


Kwa mujibu matokeo hayo yanaonyesha kuwa mgombea wa Ubungekupitia Chadema, Joshua Nassari, ameongoza dhidi ya mgombea wa kupitia ChamaCha Mapinduzi (CCM), Sioi Sumari, ambapo katika matokeo ya Kata ya Usa RiverShule ya Msingi Leganga A, Chadema imepata kura (142), CCM (26), AFP (01) hukuvyama vingine vikiambulia patupu.

Kituo cha Leganga B, Chadema imepata kura (137), CCM (26)huku vyama vilisalia havikupata kura hata moja, Shule ya Msingi Usa River AChadena (111), CCM (37), huku kituo B Chadema (116), CCM (37) na AFP (01).


Ofisi ya kitongaji cha Mji Mwema 1, Chadema (144), CCM (51),Mji Mwema 2, Chadema (141), CCM (33), Mji Mwema 3, Chadema (125), CCM (35),huku Mji Mwema 4, (126) na CCM (37).


Matokeo katika Kituo cha Ngarareso A1, Chadema (93), CCM (66),Kituo A2 Chadema (126), CCM(67), DP (1) na UPDP (1). Kituo cha Kisambuleni 1,Chadema (110),CCM (63), Kisambuleni 2, Chadema (113), CCM (58), Kisambuleni 3,Chadema (117), CCM (60), Kisambuleni 4, Chadema (118), CCM (53) na Kisambuleni5, Chadema (87), CCM (50).


Kata ya Maroroni Manyata Ofisi ya Kijiji 1, Chadema (74),CCM (43), Kituo cha Mike Nshupu 1, Chadema (69), CCM (26), Pori Shule ya MsingiChadema (85), CCM (70).


Kituo cha Makiba Majengo CCM(93),Chadema (87), huku Kituocha Ngarenanyuki 2, Chadema (95), CCM (92).Kituo cha Maksai Scali Chadema (93),CCM (48).


Kituo cha Kikatiti Chadema (119), CCM (40), Pori shule yaMsingi Chadema (47), CCM (08) huku kituo cha  Imbuseni 3, Chadema (84), CCM (58).


Chuo cha Mifugo 2, CCM (46), CCM (46), Patandi chuo chaUalimu, Chadema (101),CCM (46), Ndoombo 2, CCM (83), Chadema (45), AmbuleniShule ya Msingi 2, Chadema (194), CCM (47).


Shiton Sing’isi Chadema (208), CCM (45), Ofisi ya Kijijicha Mbuguni, Chadema (167), CCM (99), Ndoombo, Chadema (101), CCM (66).


Ambuleni 2, Chadema (194), CCM (47), Sakila 2, CCM (164),Chadema (89), Songolo Shule ya Msingi 1, CCM (123), Chadema (98), ShitoniChadema (209), CCM (52).


Ofisi ya Kijiji Nkoarisambu CCM (140), Chadema (113), Sing’isiOfisi ya Kata 2, Chadema (174), CCM (74) na Shule ya Msingi Maweni B, CCM (100),Chadema (88).


Kwa matokeo zaidi endelea kufuatilia blog yako ya www.tanzania-leo.blogsport.com

                                                                           

No comments:

Post a Comment