Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kujihakikishia ushindi baada ya taarifa za awali kutoka kwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbeles Lema kuiambai blog hii kuwa mpaka mudaa huu chama hicho kinaongoza kwenye Kata 14 Kati ya Kata 17 ambazo wananchi walishiriki uchaguzi.
Baadhi ya viongozi wa chadema taifa ambao wanafuatilia zoezi hilo kwa umakini wanasema kuwa kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mawakala wao tayari wamejihakikishia ushindi na wanachosubiri ni kutangazwa kwa Joshua Nasari.
Anasema kuwa mpaka sasa kwa taarifa za awali Chadema inaongoza kwa asilimia 7 kati ya maasimu wao CCM ambao wanaongoza kwa asilimia 30.
No comments:
Post a Comment