NDANI YA JIJI LA ARUSHA NIKIELEKEA ARUMERU MASHARIKI...
PILIKA PILIKA ZA HAPA NA PALE ILI,MRADI MKONO UENDE KINYWANI..NDANI YA SOKO LA KILOMBERO ARUSHA KAMA WALIVYOKUTWA NA KAMERA YETU..
MJASIRIAMALI AMBAYE ANAUZA MATUNDA KWA STAIL YAKE,ILI TU KUMRAHISHIA MTEJA KATIKA ULAJI NA KUMUEPUSHA NA UTOMVU WA TUNDA HILI,YEYE AMEKUWA AKITOA NYAMA ZILIZOPO KWENYE FENESI NA MTEJA AKINUNUA YEYE KAZI ILIYOBAKI NI KULA...
No comments:
Post a Comment