Tuesday, March 5, 2013

MWANAMKE ALIYEKAMATWA KWA KUDAIWA KUTOA MIMBA AFARIKI..


 
Mwili  wa mtoto aliyetupwa huu ukiwa ndani ya dampo (tunaomba radhi kwa  picha  hizi) ...

Habari  ambazo mtandao huu  umezipata  kutoka kwa majirani  wa mwanamke aliyekamatwa  jumapili  ya wiki  iliyopita kwa tuhuma za kutoa mimba na kutupa katika dampo la taka Chenzia Juma (22) mkazi wa Mwangata  B zinadai  kuwa amefariki  dunia  leo  katika  Hospitali ya mkoa  wa Iringa alikokuwa amelazwa .

Mwanamke  huyo ambae  awali alipokamatwa alidanganya jina lake  wakati akihojiwa na  polisi kwa madai kuwa anaitwa Monica kumbe ni jina feki kwani  jina lake ni Chenzia Juma .
                                    Habari kwa Hisani ya Francis Blog

No comments:

Post a Comment