HONGERA SANA KAMANDA JOSHUA KWA KUGRADUATE DEGREE YAKO YA KWANZA MWENGE UNIVERSITY..
| Hapa Joshua Swa(kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo(wa tatu kushoto) ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali hayo. |
| Hapa akiwa na mmoja wa marafiki zake wa karibu sana.Emmi Lucas. |
| Joshua akipokea zawadi kutoka kwa marafiki zake. |
| Joshua kwenye picha ya pamoja na marafiki ndugu na jamaa. |
| Joshua akiwa naBaba yake Mkubwa, |
| hapa akiwa na mama yake anampongeza mwanangu hongera sana |
| Joshua akiwa na baba yake,aliyekatikati. |
| Joshua akiwa na mdogo wake Arnold Swai |
| Joshua Swai akiwa na kamanda au mmliki wa blog hii Rodrick Mushi. |
| Baba wew ndiye ulinifanya nifike hapa sina la kulilipa,kama alikuwa anasema hivyo big upa Joshua. |
| Na dada yake naye alikuwepo dada chukua keki. |

Aksante sana kamanda Lodrick
ReplyDelete