Friday, May 18, 2012

MKUU WA MKOA KILIMANJARO AWAAPISHA MA DC WAPYA ..
 

 

Mkuu wa Wilaya ya Hai Novatus Makunga akila kiapo mbeleo ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.

Mkuu wa Wilaya ya Sa,me Herman Clement

 
….Mkuu wa Wilaya ya Rombo Elinasi palanjo akila kiapo.mbele ya Mkuu wa Mkoa Leonidas Gama.

Mkuu wa Wilaya ya Moshi dr ibrahi msengi akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanajro Leonidas Gama.


                                               Mkuu wa Wilaya yaMwangwa  Shaibu Ndemanga

Mkuu wa Wilaya ya Siha Charles Mlingwa.

No comments:

Post a Comment