Thursday, May 24, 2012

MBUNGE WA UBUNGO JOHN MNYIKA ASHINDA KESI LEO.
Hapa John Mnyika akiwahutubia wananchi Jimbo la Ubungo mara baada ya kushinda kesi

Mbunge wa jimbo la Ubungo CHADEMA Mh. John Mnyika akiwa amebebewa na wanachama wa chama hicho mara baada ya mahakama Kuu ya Tanzania  kumtangaza mshindi katika  kesi ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili  kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ubungo iliyofunguliwa na mpinzani wake Hawa Ng'humbi wa chama cha CCM.

Jaman tunaomba njia mbunge apite,ili pata shika .

No comments:

Post a Comment