MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI MOSHI VIJIJINI MKOANI KILIMANJARO YAFANA.
| Wauguzi wakianza maandamano katika eneo la KDC Halmashauri ya Moshi Vijijini kuelekea Kilema kwa kuadhimisha kilele cha siku ya wauguzi dunia siku ambayo huadhimishwa may 12 kila mwaka duniani. |
| Mdau akijadiliana jambo na Mc wa sherehe ya maadhimisho hayo ambaye pia ni Mtanzaji wa Moshi Fm Radio Mtoly Mayombola. |
| Wakielekea kwenye wodi za wagonjwa Hospitali ya Kilema kwa ajili ya Kuwasalimia wagonjwa. |
| Hapa paroko wa Kanisa Katoliki akimpa mgonjwa sakramenti takatifu. |
| Mwenyekiti wa Wauguzi Wilaya ya Moshi Raymond Massawe akizungumza jambo na wauguzi pamoja na wageni waliofika kwenye maadhimisho hayo. |
| wauguzi waliofanya vizuri wakikabidhiwa zawadi . |
| Mganga Mkuu wa hospitali ya Kilema Dr Ignas Massawe akitoa neno lake kwa wauguzi ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo ya kilele cha siku ya wauguzi duniani. |

No comments:
Post a Comment