Wednesday, April 4, 2012

   MAGWIJI WA HABARI WANAPOKUTA BAADA YA MIHANGAIKO YA HAPA NA PALE
Kushoto ni Mwandishi wa Habari wa gazeti la Matanzania Bakari Kimwanga akisaliana na Mwandishi wa Gazeti la Nipase Mkoani Kilimanjaro Charles Lyimo, baada ya kufika mkoani hapa kwa shughuli mbili tatu za kikazi.

Hapa wanafurahia jambo katika eneo la Fresh Coach
                                                                          

No comments:

Post a Comment