Saturday, April 7, 2012

KIFO CHA KANUMBA CHAZUA GUMZO KILA KONA WENGINE WASEMA PENGO LAKE HALIZIBIKI.
                                                                            

Ridhiwani Kikwete akisaini kwenye daftari la rambirambi nyumbani kwa Msanii huyo ambaye sasa ni Mrehemu Steven Kanumba.

Mbunge wa Kinondoni Idd Azan akisaini kwenye daftari la mahuzurio nyumbani kwa msanii maarufu nchni ambaye sasa ni marehemu steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatikan,Marehemu Kanumba alifiwa na mauti usiku wa kuamkia jana.

Mke wa waziri Mkuu Tunu Pinda akisaini kwenye daftari la mahuzurio nyumbani kwa msanii maarufu nchni ambaye sasa ni marehemu steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatikan.
                                                                                        
                                                                                  
Kanumba akiwa amefikishwa katika chumba cha maiti Muhimbili.picha kwa hisani ya sport starehe.

No comments:

Post a Comment