RAIS KIKWETE KATIKA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA UWT DODOMA
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)
Rais Jakaya Kikwete akiwa jukwaa kuu na viongozi mbalimbali wa chama katika mkutano wa UWT mjini Dodoma leo
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT Sophia
Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango
mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)
Picha na habari kwa hisani ya John Bukuku blog.
No comments:
Post a Comment