CHADEMA YAISAMBARATISHA NGOME YA CCM MWANGA.
|
Mapokezi ya kada wa Chadema Henry Kileo na wazee wa Kipare Wilayani Mwanga jana kwenye Mkutano wa hadhara ambapo alipewa mkuki,kiti na ngozi kwa ajili ya kuwapigania wananchi wa Jimbo hilo. |
|
Hapa Henry Kilewo akionmgea na wananchi wa Kijiji cha Kileo kilichopo Kata ya Kileo ambapo pia alizungumza changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Jimbo hilo ambalo linaongozwa na Mbunge Jumanne Magembe wa CCM. |
|
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sombetini kupitia tiketi ya CCM,ambaye aliamua kujivua gamba Alfonce Mawazo akizungumza na wananchi wa Mwanga kwenye mkutano huo ambapo alizungumzia maisha magumu ya wananchi ambayo yametokana na uongozi mbovu wa CCM. |
|
Kamanda Godbless Lema akikabizi kadi ya Chadema kwa mmoja ya wazee waliofika kwenye mkutano huo. |
|
Mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Dar es Salaam Gwakisegwakise Burton Andagile Mwakasendo akimwaga sumu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kijiji cha Kileo kilichopo Kata ya Kileo Wilayani Mwanga. |
|
Kamanda wa Chadema Gervas Mgonja akimwaga sumu kwenye mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment