Mwenyekiti wa club ya Waandishi Mkoani Kilimanjaro(mecki) kuagwa leo na club hiyo baada ya kuulamba ajira UTPC.
Hilda Kileo ambaye amejiuzulu cheo cha uenyekiti wa club ya uandishi mkoani Kilimanjaro baada ya kuula ajira UTPC akizungumza jambo kwenye moja ya mikutano ya chama hicho. |
Hafla fupi ya kumuaga Mwenyekiti huyo inafanyika leo saa 7 mchana kwenye hotel ya KNCU iliyopo Mjini Moshi ambapo wanachama na viongozi watajumuika kwa pamoja kumuaga Bi Hilda Kileo.
Hatua hivyo tutazidi kumkumbuka kwa mchango na ushirikiano wake Mkubwa aliyoonyesha wakati tukiwa naye kwenye uongizi wa kuingoza club,na tunajua bao tutaendelea kuwa pamoja kimawazo ili kuweza kufika pale tulipokuwa tunatarahia.
No comments:
Post a Comment