OFISA YA BUNGE YAPOKEA RASMI NYUMBA YA SPIKA WA BUNGE.
Nyumba ya Spika yakabidhiwa rasmi kwa bunge,ambayo atakaa spika
yeyote wa bunge la tanzanzania,hili jengo lilianza kujengwa mwaka 2009 na limegarimu 1.5 bil, kwa
hiyo kuanzia sasa kutakuwepo na jengo maalumu la spika.
No comments:
Post a Comment