HALI ILIKUWA HIVI UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDODO ARUMERU,HAPO WANANCHI WAKIMUANGALIA KAMANDA WA ANGA FREEMAN MBOWE,AKISHUKA NA MGOMBEA WA CHADEMA JOSHUA NASARI.. |
HII NDO HALI HALISI ILIKUWA NYOMI KWA SANA.. |
MAKAMANDA WA CHADEMA,HAO KABLA YA KUPANDA JUKWAANI.. |
makamanda endeleeni kuipigania hii Nchi Mungu atawasaidia..
ReplyDelete