MATUKIO MBALIMBALI YA KAMERA YA TANZANIA LEO NDANI YA MANYARA.
|
Hapa kamera yetu ilifanikiwa kumnasa kijana mmoja ambaye hakuweza kutambulika jin lake mara moja aliyevalia shati la pinki akipepesuka na kuanguka ovyo baada ya kubugia pombe majira ya saa 7:00 kamili eneo la Kateshi Wilaya ya Hananga Mkoani Manyara. |
|
Hapa wananchi wasamaria wema wakitoa msaada kwa mlevi huyo,ambaye wanenyeji wa eneo hilo walisema kuwa atakuwa amekunywa pombe za kienyeji zinazopatikana maeneo hayo kama Buza na Gongo. |
|
Hapa hata kutembea alikuwa hawezi,lakini vijana tukiendekeza pombe namna hiyo hatutaweza kufanya shughuli za mandeleo,hivyo ni vyema tukajipanga au kuwa na muda maalumu wa kunywa pombe,ama kweli pombe ni nooma |
khaa! na shat lake la satini masikin loh kwel pombe si chai
ReplyDelete