Sunday, April 15, 2012

MWANDISHI WA HABARI MKONGWE JACKSON KIMAMBO AACHANA NA UKAPELA.
Hapa kama walivyoonekana wana harusi Bw Jackson Kimambo na Mke wake Neema Mushi katika ukumbi wa YMCA uliopo Mjini Moshi

Hapa zoezi la Keki likianza.

Jackson Kimambo akimlisha mke wake Keki ikiwa ni moja ya ishara ya upendo,.

Chama cha waandishi Mkoani Kilimanjaro(MECKI)nacho kilimpongeza bwana Jackson Kimambo kwa maamuzi yake ya kuukimbia ukapela.

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo Bw Abuu Shayo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mji Mpya akitoa neno la shukrani kwa niamaba ya wanakamati wenzake.

Hapa wakijiachia kwa raha zao
Mmiliki wa Blog Hii Rodrick mushi(katikati)akimpongeza Jacksoni Kimambo kwenye harusi hiyo

No comments:

Post a Comment