Miongoni mwa miradi iliyokwama kukamishwa ya kituo
cha afya cha kileo ambacho hadi sasa huduma zake zinasua sua,hivyo kulazimu wakiana mama wajawazito kufika hadi hospitali ya mkoa ya mawenzi kwa ajili ya matibabu na kujifungua,kituo kipo ila hakina dawa wala wahudumu,
Wananchi wa kijiji hicho wanasema kuwa Mbunge wa Jimbo hilo Jumanne Magembe aliahidi kuwepo kwa huduma stahiki ya afya kwenye kituo hicho wakati wa kampeni lakini baada ya kuchaguliwa hawajawahi kufika kijijini hapo.
Wanasema kuwa kituo hicho ni jengo tu na maandashi lakini hakuna huduma yoyote,hata kama mgonjwa kama anahitaji huduma ya kwanza wahudumu wa afya ,hawapatikani hususani nyakati za usiku.
|
No comments:
Post a Comment