UHURU NA RUTO WAANDAA JUKWAA LA KUSHUKURU WANANCHI WA KENYA.
Uhuru Kenyatta (TNA)
Imeripotiwa
kuwa mgombea urais wa TNA Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza wake
wameandaa jukwaa maalum katika ukumbi mmoja wa chuo mjini Nairobi
kwa ajili ya kuzungumza na wananchi mara baada ya kutangazwa
washindi .
No comments:
Post a Comment