MATOKEO YA AWALI:UHURU AZIDI KUMBURUZA REILLA ODINGA.
Uhuru Kenyata.Uhuru Kenyatta ana kura 2,535,184
sawa na asilimia 54.06 wakati Raila Odinga ana kura 1,943, 097 sawa
na asilimia 41.44 Matokeo bado yanaendelea kutangazwa Chanzo cha
habari hizi ni TV ya The Citizen
No comments:
Post a Comment