Balozi Wa Uingereza Akutana Na Waziri Wa Habari Zanzibar.
-
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo
Saidi Ali Mbarouk wamwanzo kulia akifanya mazungumzo na Balozi wa
Uingereza Nchini Tanzania Diane Conr ner kuhusiana na mambo mbalimbali
ya Michezo na maendeleo ya Digital hapo Afisini kwake Kikwajuni
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment