Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu maoni juu ya Katiba
Jaji Joseph Sinde Warioba(kulia) akizungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
wakati Rais alipomtembelea ofisi kwake jana.Wengine katika picha ni Makamu
mwenyekiti wa tume hiyo Jaji mkuu Mstaafu Mhe. Agostino Ramadhani(Watatu
kushoto),Waziri wa Katiba na SheriaMhe. Mathias Chikawe(Wapili kushoto) na
kushoto ni naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Angela Kairuki |
No comments:
Post a Comment