BREAAAAKING NEWS MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA
Patrick
Mafisango
Taarifa ilioyofikioa mtandao huu inaeleza kuwa mchezaji wa
timu ya simba ya Jijini Dar es Salaam,na timu ya Taifa ya Rwanda ,pichani, amefariki dunia kwa ajali ya gari alfajiri Leo majira ya saa
kumi wakati akiwa njiani kurejea nyumbani kwake.
Tanzania Leo inaendelea kuwatafuta viongozi wa timu ya Simba
ya Jijini Dar ili kupata taarifa zaidi juu ya kifo cha Mchezaji huyo.Hivyo
tuendelea kufuatilia kwenye globu hii kwa habari kamili.
No comments:
Post a Comment